KUHUSU SELECTION ZA KIDATO CHA TANO 2019/2020

Najua unashauku kubwa yakutaka kuendeleza ndoto zako.

Mpaka sasa February 22/bado post hazijatoka ingawa kunataarifa zinaweza kuwa zinasamba za uongo.

Ikiwa hujui vigezo vya watakao chaguliwa ni hivi

1.Mwanafunzi awe amefaulu kuanzia Daraja la I-  III

2. Awe na walau combination moja iliyo balance

3. Awe alichagua kuendelea na masomo katika form maalumu ambayo kikawaida hujazwa kabla ya mitihani au kulingana na utaratibu Wa shule

4.Machaguzi ya mwanafunzi yatazingatiwa ikiwa hapatatokea changamoto