NOTES ZA ADVANCED LEVEL KUKAMILIKA TAREHE 31 MWEZI WA 8

Tunapenda kukutaarifu kuwa Materials za Kidato cha 5 na 6 yanaendelea kuandaliwa na timu yetu na hadi kufikia mwisho wa mwezi huu yanatarajiwa kukamilika.

Lakini bila kusahau Solving na Mitihani katika vidato vyote zinaendelea kuongezwa.

Endapo una maoni, ushauri au tatizo unaweza kuwasiliana nasi kwa namba

0678 05 05 86 au 0767 05 05 99