KARIBU NEW VISION ACADEMY KWA ELIMU BORA YA QT NA RESITTERS

Je wewe ni mmoja wa Watanzania wanaohitaji kusafisha vyeti vyao vyao vya kidato cha nne au cha sita?

Au hukupata nafasi ya kupata elimu ya sekondari ya kidato cha nne na cha sita?

Basi usitie shaka.

New Vision Academy iliyosajaliwa chini ya usajili wa namba IAE/OS/334 inakupatia fursa ya kusoma ili kujiandaa na mitahani hiyo.

New Vision Academy inapatikana Banana-Ukonga mkabala na shule ya Msingi Minazi Mirefu jirani na kanisa la Winners Chapel.

Wapigie pia kwa simu namba 0652211000