M-PESA
LIPIA KULINGANA NA MUDA UNAOHITAJI
Bonyeza *150*00# Kisha piga
Chagua 4 – Lipa kwa M-Pesa
Chagua 4 – Ingiza namba ya kampuni - 405656
Weka namba ya kumbukumbu ya malipo. Anza na 256*** Ikifuatiwa na namba yako ya simu uliyotumia kujisajilia
Weka kiasi (Kulingana na muda unaohitaji)
Ingiza namba ya siri kuhakiki maelezo ya ankara
Utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha malipo uliyoyafanya
TIGO PESA
LIPIA KULINGANA NA MUDA UNAOHITAJI
Bonyeza *150*01# Kisha piga
Chagua 4 – Lipia bili
Chagua 4 – Ingiza namba ya kampuni - 767676
Weka namba ya kumbukumbu ya malipo. Anza na 256*** Ikifuatiwa na namba yako ya simu uliyotumia kujisajilia
Weka kiasi (Kulingana na muda unaohitaji)
Ingiza namba ya siri kuhakiki maelezo ya ankara
Utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha malipo uliyoyafanya
AIRTEL MONEY
LIPIA KULINGANA NA MUDA UNAOHITAJI
Bonyeza *150*60# Kisha piga
Chagua 5 – Lipia bili