JINSI YA KUTUMIA ELIMU MOBILE APP

Karibu Sana Elimu Mobile App.

Baada ya ku'download app hii tafadhali bonyeza "INGIA UANZE KUSOMA" au "ANZA KUSOMA" ili ufanye usajili mfupi.

Baada ya kuingiza namba ya simu utapokea namba ya siri "codes" ambazo utatakiwa kuziingiza tena ili kukamilimisha usajili huo.

Baada ya kukamilisha zoezi hili bonyeza tena "INGIA UANZE KUSOMA" au "ANZA KUSOMA" ili kuzifikia Notes, Syllabus, Mitihani na Solving za masomo yote.

Kumbuka: Hutoitajika tena kuingiza namba ya siri wakati mwingine utakapokuwa unahitaji kutumia ELIMU MOBILE.

Endapo unakutana na changamoto yoyote usisite kutupigia 0678-050586 au 0767-050599